
CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.
Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:


FANYENI TARATIBU NA KAMWE MSISHINDANE NA DOLA.
ReplyDelete