Aug 10, 2016

Makonda afafanua post yake iliyozua utata instagram


Siku za hivi karibuni, habari ya town katika michezo ni uamuzi wa wanachama wa Yanga kuamua kuikodisha timu yao pamoja na nembo kwa Yusuf Manji ambaye pia ni Mwenyekiti wa klabu hiyo kongwe zaidi nchini.

Kutokanana hilo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda yeye aliandika maneno ambayo yalizua utata kwenye mitandao ya kijamii: “Unataka kujua kwanini Tanzania ni masikini? Soma mkataba wa Yanga wanaosaini leo.”

Makonda ametolea ufafanuzi post yake wakati akizungumza kwenye kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM ambapo ameeleza kwa nini aliandika ujumbe huo. Ungana na Makonda hapa chini upate kuelewa vizuri alichokimaanisha katika ujumbe huo ambao ulizua mjadala na maswali mengi mitandaoni, lakini inawezekana wengi walielewa tofauti na alivyomaanisha.

Nilivyosikia namna ambavyo watu wanawaza kukodishana, nililazimika kutafuta uelewa kidogo. Kwasababu nilipata shida kidogo, mimi mwenyewe mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa, kama mwananchi wa kawaida anayependa michezo nimejikuta ninamaswali mengi .

Niliangalia kipindi cha Clouds TV (Sports Bar) wakati wanafanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Yanga, nikawa na shauku ya kumuuliza lakini nilivyomsikiliza mwanzo hadi mwisho namna alivyokuwa akijibu maswali nikagundua nikimuuliza maswali ndugu yangu nitakuwa namuonea.

Nikajiuliza nitapeleka wapi maswali yangu? Lakini nikawa najiuliza wanachama wamepata nafasi ya kupitia vizuri hiyo proposal? Kamati ya utendaji imepata nafasi ya kuipitia? Kwa bahati nzuri mzee wangu mzee Jakaya Kikwete ni mwanachama mzuri wa Yanga, nikajiuliza mzee naye amepata nafasi ya kupitia? Nikaendelea kujiuliza hawa watu wamepata kujua kama timu yao inakodishwa?

Bado nikajiuliza, anayeongoza ndio huyohuyo anaetaka kukodi klabu, je amezingatia uzalendo wa ahadi ambazo aliwahi kuzitoa juu ya klabu yake?

Watu wanaweza kuona tunaijadili Yanga kwasababu labda kwasababu wengine tunaonekana ni Simba, shauku yangu mimi kama Makonda, hizi timu zetu mbili zina sura nzuri sana na ndio zenye mwamko wa michezo Tanzania ukiongelea Simba na Yanga ni timu kubwa zina fan base kubwa. Hivi juzi tumeona Simba wameadhimisha miaka 80 maana yake wapo kwa miaka nenda rudi.

Lakini kama ndugu zetu kweli wanania njema, kwanini wasifanye kama Bakhresa wakaanzisha timu zao kwanini waje wachue timu zilizotengenezwa miaka nenda rudi na zenye historia kubwa wanakuja kuzichukua hapa juu.

Kwahiyo kuna maswali mengi, ambayo mimi ningeomba wanayanaga na hata wanasimba pia wachukue nafasi nzuri na nimwombe MO ambaye anataka kuchukua shea Simba na Manji ambaye anataka kuikodi Yanga kwa miaka 10 wawape muda wanachama.

Wakati mnagombea nafasi za uongozi katika hizi timu kuna mambo ambayo mliyaahidi kwamba mtayatekeleza, lakini mbona bado tunatafuta kiwanja cha Yanga kimejengwa wapi, makao makuu ya Yanga lini yameboreshwa, lini jezi za Yanga zimeuzwa na zikaongeza mapato, wanachama wa Simba na Yanga lini wamelipa michango yao ya uanachama, hayo yote hatuyaoni.

Kwa bahati nzuri kaka yangu Nape naamini atatusaidia, tuna TFF ambayo ipo kwa ajili ya kusimamia hizi taratibu, hebu tupate kitu kizuri, tusikimbilie kufanya maamuzi ambayo kesho na keshokutwa tukaja kujutia, ninahisi kwa mbali sana kuna harufu ya ‘RICHMOND’.


Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Follow Us

Popular Posts

Powered by Blogger.

MKRdezign

Blog Archive

Technology

[blogger]
Contact us
Ajirayako.co.tz
E-mail: ajirayako@gmail.com
DISCLAIMER:
This Website |Ajirayako.co.tz| is Not Affiliated In Any Way
With The Companies Whose Vacancies Are Published Here.
AVOID SCAMS
Never Pay to Have Your CV/Application Pushed Forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tags

Abdallah Zombe (3) ACT Wazalendo (7) Afande Sele (6) Afya (42) Air Tanzania (11) Ajali (31) Ajira (16) Akson Tulia (4) Alberto Msando (1) Ali Kiba (10) Almaz Ayana (1) Anna Makinda (2) Anthony Lusekelo (1) Arusha (1) Arusha Felix Ntibenda (1) Asha Rose Migiro (2) Askofu Gwajima (6) ATCL (3) Augustine Lyatonga Mrema (4) Aunty Ezekiel (2) Babu Tale (2) Bajeti (1) Bakwata (3) Baletol (1) Bandari (3) Baraka da Prince (2) Bavicha (1) Benjamin Mkapa (1) Benki Kuu Tanzania (1) Bernad Membe (1) Biashara (1) Bodi ya Mikopo (1) Bongo Movies (7) BOT (1) Breaking News (3) Buhari (1) Bungeni (48) Burudani (45) CCM (5) Chadema (20) Charles Kitwanga (3) Chibok (1) Chid Benz (2) Chris Brown (3) Clouds FM (1) CUF (26) Dangote (3) Daniel Ole Njolay (1) Dart (2) David Kafulila (7) Desmond Tutu (2) Diamond Platnumz (18) DJ Fetty (1) Dk. Reginald Mengi (1) Donald Trump (23) Dr Mwaka (1) Dr Mwaka Aacha Vilio Kwa Wagonjwa...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Septemba 30 (1) DR Shein (2) Dr Slaa (4) Dr. Ramadhan Kitwana Dau (1) Edo Kumwembe (1) Edward Lowassa (30) Elimu (75) EPA (1) Escrow (3) Ester Bulaya (9) Faiza Ally (1) Fast Jet (1) Featured (3) Flaviana Matata (1) Freeman Mbowe (31) Fumanizi (1) Gadner (1) George Masaju Masaju (1) Gerald Hando (1) Godbless Lema (31) Godwin Gondwe (1) Halima Mdee (2) Hamad Rashid (1) Harmonize (3) Hillary Clinton (3) Iddi Amini Dadaa (1) Idriss Sultan (2) Iphone (1) Irene Uwoya (1) Ivo Mapunda (1) Jack Wolper (3) Jaji Francis Mutungi (3) Jakaya Kikwete (13) Jambazi (2) James Mbatia (1) January Makamba (1) JB (1) Jecha Salim (1) Jenerali Ulimwengu (1) Jerry Muro (3) Jeshi la Polisi (32) Jobs (1) John Cheyo (1) John Mnyika (3) John Pombe Magufuli (83) Joseph Kabila (2) Josephine Mshumbushi (1) Joshua Nassari (1) Julieth Kairuki (1) Julius Mtatiro (9) Jussa (1) Kamanda Sirro (1) Kenyan News (14) KFC (1) Kicheko (1) Kigwangalla (1) Kilimo (1) Kinana (3) Kitanzi (1) Koffi Olomide (2) Korea (1) Kuliko Jana (1) Leicester City (1) Livingstone Lusinde (1) Lugumi (1) Lulu Michael (1) Maajabu (3) Maalim Seif (14) Madam Rita (1) Madawa ya Kulevya (7) Magazeti (49) Mahakamani (7) Mai Mai (4) Maisha (2) Majambazi (7) Makahaba (1) Makalio Makubwa (1) Makamba (1) Malaika (1) Malezi (1) Mama Salma (1) Man Fongo (2) Man United (1) Mange Kimambi (2) Manji (7) mape (1) Mapenzi (76) Marcus Rashford (1) Mashine ya MRI (1) Matiko (1) Matokeo (3) Mauaji (31) Mauji (2) Mbeya (2) Mbunge Lusinde (1) Mbwana Samatta (8) Mchungaji Anthony Lusekelo (1) Meya wa Kinondoni (1) Michael Shirima (1) Michez (1) Michezo (201) Miss Tanzania (2) Mizengo Pinda (1) Mongela (1) Mr Blue (3) Mrema (7) Mrisho Gambo (3) Mrisho Mpoto (2) Msigwa (2) Mugabe (1) Museven (1) Music (85) Muungano (1) Mwakyembe (2) Mwanafunzi (3) Mwendokasi (1) Mwigulu Nchemba (2) Nape Nnauye (13) Navy Kenzo (1) Nay wa Mitego (2) Ndanda FC (1) Ndugai (1) Necta (3) Nida (1) Nigeria (2) NSSF (1) Nuh Mziwanda (2) Nyerere (1) Obama (9) Ommy Dimpoz (2) Original Comedy (2) Oscar Pistorius (1) Paul Makonda (34) Paul Pogba (2) Pep Guardiola (1) Peter Msigwa (4) Petitman (1) Polisi (4) Pombe (1) Pride (1) Prof Mkumbo (2) Prof. Benno Ndulu (1) Prof. Ibrahim Lipumba (12) Prof. Lipumba (23) Prof. Tibaijuka (3) Profesa Benno Ndulu. (1) Profesa Muhongo (3) Q-Chief (1) Raila Odinga (2) Rais Magufuli (35) Ray C (1) Reginald Mengi (2) Rihanna (1) Robert Mugabe (4) Ruby (5) Rushwa (3) Sadaka (1) Saed Kubenea (3) Saida Karoli (2) Salama Jabir (1) Salum Mwalimu (2) Samia Suluhu (1) Samsung Galaxy (1) Samwel Sitta (5) Sauti Sol (1) SBL (1) Scorpion (3) Serengeti Boys (1) Shamsa Ford (2) Sheikh Abubakar Zubeiry (2) Shibuda (2) Shilole (1) Siasa (1945) Siasa Huru App (3) Siasa za Kenya (1) Simba (1) Slaa (1) Snura (1) South Africa (1) Sudan (1) Sugu (1) Sukari (4) Sumaye (8) Supu ya Pweza (1) Tanesco (9) Tanzia (22) TB Joshua (4) TBS (1) TCRA (5) TCU (4) Technology (3) Tetemeko (13) TFDA (1) Thereza May (1) Thomas Mashali (1) TRA (4) Tundu Lisu (20) Tyrant (1) Ubakaji (4) Uchambuzi (1) Uchawi (1) Uchumi (90) Udaku (46) Udaku Spesho (21) UDSM (1) Ufisadi (2) Ugaidi (6) Uhuru Kenyatta (2) Ujambazi (4) Ujauzito (1) Ukahaba (1) Ukatili (1) Ukawa (11) Ukuta (11) Ummy Mwalimu (1) Urembo (15) Ushirikina (1) Utafiti (2) Utapeli (3) UVCCM (4) Vioja (1) Wastara (1) Watumishi Hewa (1) Waziri Mahiga (2) Waziri Mkuu Majaliwa (18) Wema Sepetu (6) Wiliam Lukuvi (6) Yanga (7) Yaya Toure (1) Zitto Kabwe (33) Zuckerberg Mark (1)

Categories

Advertisement

Main Ad

Facebook

Responsive Ads Here

Featured

Recent

Udaku Special Test

Copyright © Udaku Special Test | Powered by Blogger