Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi ya Oostende.,
Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya 80 na katika dakika 91 akapachika bao
Tazama Video Hapa jinsi alivyopachika bao safi:
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
0 [disqus]:
Post a Comment