Hata hivyo kuanza rasmi kwa huduma hiyo kutategemea idhini ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na majini (Sumatra).
Leo Jumatano Agosti 3, 2016 Wataalamu wa Sumatra walisafiri na treni hiyo na kutoa maagizo maalum ya kurekebisha mabehewa ya treni hiyo, na TRL imeshajiandaa kufanya marekebisho hayo kwa wakati muafaka.
Treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) ikiwa tayari kwa safari yake ya Jiji kuanzia Stesheni kwenda Pugu huduma ambayo imeanza kutolewa huku ikiwapa abiria nafasi ya kusafiri bure hadi Ijumaa Agosti 5, 2016
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment