Sasa jana Tarehe 17 2016 Idris Sultan anazimiliki headlines mitandaoni baada ya kuchukua maamuzi ya kujindoka kwenye mtandao wa instagram bado haijajulikana tatizo ni nini, ila wadaku wa mjini wanadai ni kwasababu watu mbali mbali wameendelea kumponda katika mtandandao huo baada ya tetesi za kuachana na Wema Sepetu....
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment