Uhusiano baina ya Burundi na Rwanda umeingia tena dosari baada ya Burundi yazuia mabasi ya abiria kutoka nchini mwao kwenda Rwanda.
Burundi inaishutumu Rwanda kuwapa mafunzo waasi wanaotaka kuiangusha Serikali ya Pierre Nkurunziza
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment