Leo August 14 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, Spika wa bunge Job Ndugai ameeleza kuhusu upande wa upinzani kutaka kuandamana kutokana na madai mbalimbali ikiwemo kuona demokrasia haitendeki, Spika Ndugai amesema………..
‘baada ya uchaguzi mkuu kuwa umepita, tukiendelea na kampeni na mikutano ya hadhara utafikiri kuna uchaguzi kesho kwa kweli nchi itafika mahali haitaweza kwenda lazima tuipe nafasi nchi kwenda mbele na sisi ambao tumechaguliwa kuwasemea watanzania siasa zetu tuzipeleke pale bungeni’
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment