Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Sep 16, 2016
MKE wa Mengi Jackline Ntuyabaliwe Azindua Duka la Kifahari Nchini
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, jackline ntuyabaliwe maarufu kama k- lynn au boss lady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'ammorrete " lenye brand yake ambapo atakua anauza furniture mbali mbali za nyumbani pamoja na mambo ya decorations ambayo ameyabuni mwenyewe
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Weka Maoni yako Hapa
0 [disqus]:
Post a Comment