Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Kilimanjaro Queens imeshinda Kombe la CECAFA leo baada ya kuinyuka Kenya magoli 2-1 katika fainali.
Mechi hiyo ilikuwa ikichezewa nchini Uganda ambao ndio walikuwa waandaaji wa Michuano hiyo.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment