Ameongezea kuwa maafisa wa serikali walikuwa wanasafiri sana nje na sasa wameona wajirekebishe na Magufulli anatoa mfano kwa kutokusafiri na kutoa nafasi kwa balozi za nje kushughulikia mambo ya diplomasia na biashara.
Sababu nyingine ni serikali ya awamu ya tano inatakiwa kuwekwa katika maadili na nidhamu hivyo anabaki Tanzania ili aweze kufanya mambo hayo. Msikilize Hapa:
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment