Hapi akiwa katika eneo hilo akiambatana na wataalamu wa mipango miji, mhandisi wa manispaa na askari wa jeshi la polisi ameagiza kuvunjwa kwa ukuta ulioziba njia za wananchi kupita, kufukiwa kwa shimo lililochimbwa kabla ya saa 12 jioni leo october 10 2016 na kumtaka OCD Kawe kuchunguza tuhuma za mfanyabiashara huyo kudaiwa kusema kuwa “serikali iko mfukoni mwake” na ikibainika kuwa ni kweli akamatwe mara moja na kuhojiwa na vyombo vya dola.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment