Oct 11, 2016

Hizi Ndio Dawa za Hospitalini zinazoua Nguvu za Kiume

Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa binadamu. madhara madogo madogo huweza kua kichefuchefu,kizunguzungu, kutapika, kuharisha na kadhalika. na madhara makubwa huweza kua kansa, madonda ya tumbo, ugumba, kuishiwa nguvu za kiume na kadhalika. leo ntaenda kuongelea dawa za hospitalini ambazo zinhusika sana kuua nguvu za kiume na kama una tatizo hili uziepuke mara moja.

Dawa za kutibu presha; kuna dawa nyingi sana za kutibu presha na hufanya kazi kwa njia tofauti tofauti yaani ikishindwa hii unapewa nyingine na zifuatazo ni baadhi ambazo huua nguvu za kiume. mfano  Hydrochlorothiazide, Hydropres, Inderide, Moduretic, Oretic, Lotensin, Chlorthalidone (Hygroton), Triamterene (Maxide, Dyazide), Furosemide (Lasix), Bumetanide (Bumex), Guanfacine (Tenex), Methyldopa (Aldomet), Clonidine (Catapres), Verapamil (Calan, Isoptin, Verelan) Nifedipine (Adalat, Procardia), Hydralazine (Apresoline), Captopril (Capoten), Enalapril (Vasotec), Metoprolol (Lopressor), Propranolol (Inderal), Labetalol (Normodyne), Atenolol (Tenormin), Phenoxybenzamine (Dibenzyline), Spironolactone (Aldactone).

Dawa za kutibu kifafa, msongo wa mawazo na wasiwasi; hizi hupewa kwa wagonjwa wenye msongo wa mawazo na kifafa. mara nyingi huleta uzingizi na kumfanya mtu aapate nafuu lakini pia dawa hizo hupunguza nguvu za kiume.mfano Fluoxetine (Prozac), Tranylcypromine (Parnate), Sertraline (Zoloft) Isocarboxazid (Marplan), Amitriptyline (Elavil), Amoxipine (Asendin), Clomipramine (Anafranil) Desipramine (Norpramin), Nortriptyline (Pamelor), Phenelzine (Nardil), Buspirone (Buspar), Chlordiazepoxide (Librium),Clorazepate (Tranxene),Diazepam (Valium)
Doxepin (Sinequan), Imipramine (Tofranil), Lorazepam (Ativan), Oxazepam (Serax), Phenytoin (Dilantin).

Dawa za kutibu matatizo ya aleji; hizi ni dawa amazo mara nyingi hutumika kutibu mafua, miwasho, kutetemeka mwili,kuzuia kutapiaka na kadhalika lakini huua nguvu za kiume taratinu mfano Dimehydrinate (Dramamine), Diphenhydramine (Benadryl), Hydroxyzine (Vistaril), Meclizine (Antivert), Promethazine (Phenergan).

Dawa za maumivu; hizi ni dawa ambazo hutumika kutibu maumivu makali ya mwili kama jointi, mgongo, miguu na kadhalika lakini bahati mbaya huacha sehemu nyeti katika halia ambayo sio nzuri mfano Naproxen (Anaprox, Naprelan, Naprosyn) na Indomethacin (Indocin).

Dawa za kutibu madonda ya tumbo; hutumika na watu wengi sana kuponya na kuondoa maumivu makali yanayosababishwa na madonda ya tumbo lakini huacha madhara hayo.mfano cimetidine, Nizatidine (Axid), ranitidine (Zantac).

Dawa za kutibu tezi dume; pamoja ya kua tezi dume hutibiwa moja kwa moja kwa upasuaji lakini kuna dawa ambazo mgonjwa anapewa kabla ya kufikia hatu ya kupasua na pia dawa hizi humpunguzia makali ya ugonjwa.mfano flutamide(Eulexin), leuprolide (Lupron)
dawa za kutibu kansa; dawa hizi hazipatikani madukani kabisa, na hutolewa kwenye hospitali maalumu kama  ocean road,  dar es laam kupunguza makali ya ugonjwa wa kansa. mfano wa dawa hizo ni  Flutamide (Eulexin), Leuprolide (Lupron).

Dawa za moyo; hizi ni dawa amabazo hutumika kutibu watu wenye matatizo ya moyo.. mara nyingi dawa hii hupewa kwa watu ambao mioyo yao haisukumi damu vizuri.mfano norpace.

Mwisho; kama una tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na unaatumia baadhi ya dawa hizi, basi ongea na daktari wako anayekutibu akubadilishie dawa. ni hatari kufanya maamuzi mwenyewe bila kumshirikisha daktari. nguvu za kiume ni nzuri lakini maisha ni matamu zaidi

Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Follow Us

Popular Posts

Powered by Blogger.

MKRdezign

Blog Archive

Technology

[blogger]
Contact us
Ajirayako.co.tz
E-mail: ajirayako@gmail.com
DISCLAIMER:
This Website |Ajirayako.co.tz| is Not Affiliated In Any Way
With The Companies Whose Vacancies Are Published Here.
AVOID SCAMS
Never Pay to Have Your CV/Application Pushed Forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tags

Abdallah Zombe (3) ACT Wazalendo (7) Afande Sele (6) Afya (42) Air Tanzania (11) Ajali (31) Ajira (16) Akson Tulia (4) Alberto Msando (1) Ali Kiba (10) Almaz Ayana (1) Anna Makinda (2) Anthony Lusekelo (1) Arusha (1) Arusha Felix Ntibenda (1) Asha Rose Migiro (2) Askofu Gwajima (6) ATCL (3) Augustine Lyatonga Mrema (4) Aunty Ezekiel (2) Babu Tale (2) Bajeti (1) Bakwata (3) Baletol (1) Bandari (3) Baraka da Prince (2) Bavicha (1) Benjamin Mkapa (1) Benki Kuu Tanzania (1) Bernad Membe (1) Biashara (1) Bodi ya Mikopo (1) Bongo Movies (7) BOT (1) Breaking News (3) Buhari (1) Bungeni (48) Burudani (45) CCM (5) Chadema (20) Charles Kitwanga (3) Chibok (1) Chid Benz (2) Chris Brown (3) Clouds FM (1) CUF (26) Dangote (3) Daniel Ole Njolay (1) Dart (2) David Kafulila (7) Desmond Tutu (2) Diamond Platnumz (18) DJ Fetty (1) Dk. Reginald Mengi (1) Donald Trump (23) Dr Mwaka (1) Dr Mwaka Aacha Vilio Kwa Wagonjwa...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Septemba 30 (1) DR Shein (2) Dr Slaa (4) Dr. Ramadhan Kitwana Dau (1) Edo Kumwembe (1) Edward Lowassa (30) Elimu (75) EPA (1) Escrow (3) Ester Bulaya (9) Faiza Ally (1) Fast Jet (1) Featured (3) Flaviana Matata (1) Freeman Mbowe (31) Fumanizi (1) Gadner (1) George Masaju Masaju (1) Gerald Hando (1) Godbless Lema (31) Godwin Gondwe (1) Halima Mdee (2) Hamad Rashid (1) Harmonize (3) Hillary Clinton (3) Iddi Amini Dadaa (1) Idriss Sultan (2) Iphone (1) Irene Uwoya (1) Ivo Mapunda (1) Jack Wolper (3) Jaji Francis Mutungi (3) Jakaya Kikwete (13) Jambazi (2) James Mbatia (1) January Makamba (1) JB (1) Jecha Salim (1) Jenerali Ulimwengu (1) Jerry Muro (3) Jeshi la Polisi (32) Jobs (1) John Cheyo (1) John Mnyika (3) John Pombe Magufuli (83) Joseph Kabila (2) Josephine Mshumbushi (1) Joshua Nassari (1) Julieth Kairuki (1) Julius Mtatiro (9) Jussa (1) Kamanda Sirro (1) Kenyan News (14) KFC (1) Kicheko (1) Kigwangalla (1) Kilimo (1) Kinana (3) Kitanzi (1) Koffi Olomide (2) Korea (1) Kuliko Jana (1) Leicester City (1) Livingstone Lusinde (1) Lugumi (1) Lulu Michael (1) Maajabu (3) Maalim Seif (14) Madam Rita (1) Madawa ya Kulevya (7) Magazeti (49) Mahakamani (7) Mai Mai (4) Maisha (2) Majambazi (7) Makahaba (1) Makalio Makubwa (1) Makamba (1) Malaika (1) Malezi (1) Mama Salma (1) Man Fongo (2) Man United (1) Mange Kimambi (2) Manji (7) mape (1) Mapenzi (76) Marcus Rashford (1) Mashine ya MRI (1) Matiko (1) Matokeo (3) Mauaji (31) Mauji (2) Mbeya (2) Mbunge Lusinde (1) Mbwana Samatta (8) Mchungaji Anthony Lusekelo (1) Meya wa Kinondoni (1) Michael Shirima (1) Michez (1) Michezo (201) Miss Tanzania (2) Mizengo Pinda (1) Mongela (1) Mr Blue (3) Mrema (7) Mrisho Gambo (3) Mrisho Mpoto (2) Msigwa (2) Mugabe (1) Museven (1) Music (85) Muungano (1) Mwakyembe (2) Mwanafunzi (3) Mwendokasi (1) Mwigulu Nchemba (2) Nape Nnauye (13) Navy Kenzo (1) Nay wa Mitego (2) Ndanda FC (1) Ndugai (1) Necta (3) Nida (1) Nigeria (2) NSSF (1) Nuh Mziwanda (2) Nyerere (1) Obama (9) Ommy Dimpoz (2) Original Comedy (2) Oscar Pistorius (1) Paul Makonda (34) Paul Pogba (2) Pep Guardiola (1) Peter Msigwa (4) Petitman (1) Polisi (4) Pombe (1) Pride (1) Prof Mkumbo (2) Prof. Benno Ndulu (1) Prof. Ibrahim Lipumba (12) Prof. Lipumba (23) Prof. Tibaijuka (3) Profesa Benno Ndulu. (1) Profesa Muhongo (3) Q-Chief (1) Raila Odinga (2) Rais Magufuli (35) Ray C (1) Reginald Mengi (2) Rihanna (1) Robert Mugabe (4) Ruby (5) Rushwa (3) Sadaka (1) Saed Kubenea (3) Saida Karoli (2) Salama Jabir (1) Salum Mwalimu (2) Samia Suluhu (1) Samsung Galaxy (1) Samwel Sitta (5) Sauti Sol (1) SBL (1) Scorpion (3) Serengeti Boys (1) Shamsa Ford (2) Sheikh Abubakar Zubeiry (2) Shibuda (2) Shilole (1) Siasa (1945) Siasa Huru App (3) Siasa za Kenya (1) Simba (1) Slaa (1) Snura (1) South Africa (1) Sudan (1) Sugu (1) Sukari (4) Sumaye (8) Supu ya Pweza (1) Tanesco (9) Tanzia (22) TB Joshua (4) TBS (1) TCRA (5) TCU (4) Technology (3) Tetemeko (13) TFDA (1) Thereza May (1) Thomas Mashali (1) TRA (4) Tundu Lisu (20) Tyrant (1) Ubakaji (4) Uchambuzi (1) Uchawi (1) Uchumi (90) Udaku (46) Udaku Spesho (21) UDSM (1) Ufisadi (2) Ugaidi (6) Uhuru Kenyatta (2) Ujambazi (4) Ujauzito (1) Ukahaba (1) Ukatili (1) Ukawa (11) Ukuta (11) Ummy Mwalimu (1) Urembo (15) Ushirikina (1) Utafiti (2) Utapeli (3) UVCCM (4) Vioja (1) Wastara (1) Watumishi Hewa (1) Waziri Mahiga (2) Waziri Mkuu Majaliwa (18) Wema Sepetu (6) Wiliam Lukuvi (6) Yanga (7) Yaya Toure (1) Zitto Kabwe (33) Zuckerberg Mark (1)

Categories

Advertisement

Main Ad

Facebook

Responsive Ads Here

Featured

Recent

Udaku Special Test

Copyright © Udaku Special Test | Powered by Blogger