Kwa mujibu wa balozi wa eneo la kwa mrefu ambaye pia ni shuhuda amesema marehemu alikuwa akisimamia zoezi la kushindilia lami kwenye barabara na mwendesha mtambo hakumuona, jambo lililopelekea suruali yake kushikwa na nondo iliyokuwa karibu hivyo akaangukia barabarani na mtambo ukamkanyaga.
Jeshi la polisi kupitia kwa kaimu kamanda wa polisi Arusha Yusuph Ilembo amesema kwamba mtuhumiwa aliyesababisha kifo hicho kwa uzembe bado anashikiliwa na polisi na uchunguzi ukikamilika atapelekwa mahakamani.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment