Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Oct 30, 2016
Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kushtukiza Wizara Ya Maliasili Na Utalii Na Kushuhudia Pembe Za Ndovu 50 Zilizokamatwa
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kukagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam leo Oktoba 29, 2016
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Weka Maoni yako Hapa
0 [disqus]:
Post a Comment