Diwani huyo amekuwa akituhumiwa kutokujua kusoma wala kuandika.
Baada ya kupoteza sifa ya kuendelea kuwa Diwani wa Kata ya Senga, mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita amesema tayari ameshapeleka barua TAMISEMI kwa ajili ya hatua zaidi.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Nilimuona wakati anaapishwa na nilisema kwamba hatuwezi kupata maendeleo wa kuchagua viongozi wa aina hiyo, ref: facebook/umwuzukuru wa Maguge
ReplyDelete