Nov 14, 2016

Mashabiki wamshambulia Wema Sepetu kufuatia kuvuja kwa video inayomuonesha akiliwa mate na model


Wema Sepetu amerudi tena kwenye gumzo mtandaoni.

Awamu hii ni kufuatia kuvuja kwa video inayomuonesha akiliwa mate na model Calisah, anayedaiwa kuwa ni boyfriend wake sasa. Kuna uwezekano ni Calisah ndiye aliyeivujisha video hiyo.

Kwenye moja ya post, Calisah ameandika ‘Hope U knw the truth (God).” Wema ambaye ameonesha kuchukizwa na kuvuja kwa video hiyo alicomment kwenye post hiyo kwa kuandika “Bullshit. F*ck You!”

Inaonekana kuwa Wema hakupenda uhusiano huo uwe wazi.

Kuvuja kwa video hiyo kumewakera mashabiki wake wengi wanaomini kuwa amejidhalilisha.

Hizi ni baadhi ya comments zao:

Kam_collection: Punguza kuwa mwepesi kwa wanaume coz wanaume wana tabia ya kuambiana so huenda washakujua kwamba we ni slope ndio maana wanakuchezea then wanakudump…utaishia kuchezewa na vitoto kila siku. Jifunze hata kwa Lulu …mbona wenzako hawako hivyo….tunakupenda ndio maana tunakuambia ukweli..tabia hizi ufanyavyo naamini unaiumiza hata family yako. Jirekebishe…umri haurudi nyuma.

Maryjohn2500: @wemasepetu rafiki wa kweli ni Yule akuambiae ukweli ukikosea,hao wanaokuambia live your life wanakudanganya,nakupenda wangu…please jitahidi kubadilika…this is too much kwa kweli…I mean too much,jaribu kuangalia wapi unakosea ujirekebishe ili usi destroy the brand umejijengea,at the moment you are on a road to disaster, but dereva ni wewe mwenyewe unaweza badili njia

Maggy_dolnow: Your playing victim for ones in your miserable life take responsibility when people warned you about that broke boy you called us monkeys,cry me a river if you wish but we want to see you working boo boo,it’s called tough love,there are people who look up to you as their role model,is this how you want young people to do,girl your very selfish and a big lair

Zaybeyb: Nilikupenda sana wema ila tabia zako zinanichosha sana mpk najuata sijui kwann nimekua fans wako kiukweli now nimechoka mtu huambilik wala hushaurik its too much nimejivua kwa kweli

Dormut: @wemasepetu I love you wema I Think you are an awesome human being,we love you in Kenya,but girl!!!!!! If your were Calisah be with calisah,u should not have done an interview and said otherwise,(hence the drama that the. Interview is bringing in your life),your funs love you but this is too much,even Kenyan celebrities don’t have this much drama.Please get back to work and accept that you are now a grown woman,this is such high school shit

Miss_jackson_101: U need to take urself out from the situation @wemasepetu ,and be alone even for a minute then evaluate itself,started to build ur own brand from begin, let go to the bad company of ppo,u don’t have to treat urself as trash,u give the whole world to think ur trash,u need to grow up,stop act like a child, make good decision for urself,u don’t need fake friend and fake man…keep ur mouth shut,don’t do uswazi thing that ur doing now,if u want to be classic u can be ,u need to want to…#notafan but a woman who is strong feel sorry for u

Blessedanna13: We all do this but we keep this private u shud sue this boy wema serious this ain’t fair.. Next time zmen smu chunguza chumba Kama kuna camera then u should know how valuable ur uachane na hawa watafuta kiki

S.kimuya: Yaani am a fun of @wemasepetu but this is just too much yaani ata my respect for Lulu imeshinda hii ya my favourite wema yaani you seriously need help it is too much men very short period.

Novette1043: Oh plz stop that crying and wipe those crocodile tears kwani wewe kila siku ndio victim. You did this mess to your damn self. When are you ever going to learn? You were wrong it’s always everyone else using your good heart my foot mpaka lini tumechoka this is tough love coming your way take it or leave it. Grow up and be accountable for your manners.

Mom_coutinho: Nakupenda wema bt unatuangusha watu wko hua natetea cna napoona unaongelewa vbya hta kwa wanaonizunguka lakin kwa video ile nlitaman hta kulia coz but usijate tamaa still lov u piga magoti sali Mungu atakupa mwanaume unaemuhitaji angalia mifano kwa kina jokate, aunt hta lulu tu ni mdgo lakin hua hatembei na watu ambao hawajakua kiakili

Loyality971: why always you???this tym don’t blame anyone because it’s your fault sweetheart, being with a good heart doesn’t mean u serve pussy everywhere. ..where the respect at??why do u hv lust???…wema you don’t hv love in your heart..u just don’t. all u hv is lust..every tym you see a popping guy u want him …is that love?why do u make your self very easy to get??people loved u too much but no one can keep lifting up a person who dims every light they light for them…one day u are gonna wish all this never happened.u might be desperate because u hv no kids yet but that don’t justify your acts.u will get kids en kids but what do u think they will feel when told their mum was just a gram celeb kissing every learner😩😩😩😩.AND NEXT TYM KISS WHILE YOUR EYES OPEN WIDE😨😨😨😨😨😨SO THEY SHUDNT RECORD YOU AGAIN .#am nobody to judge but I can give my opinion #where the respek at??why are u missusing the love we give u😒😒😒😒

Sarahriungu: Yaani wema you are so funny,a big lier n a pretender, women are busy chasingπŸ’°n building their lives,you,ur busy chasing men,crying day in day out on social media. …which responsible man wil want a loser?ur turning 30yrs with nothing to show ur only achievements are love stories n heartbreaks,@hopeolivier24 why don’t you advise ur friend to atleast invest on valuable things,biashara zake zimekufa,jina lake/brand ameharibu,yaani umebakia kutangazia dunia upumbavu what kind of a celeb are u?……ASIYESIKIA LA MKUU UVUNJIKA GUU ,NA ASIYEFUNZWA NA MAMAKE UFUNZWA NI ULIMWENGU! Ur mana said it all the other day ‘wema hatafika mbali’,nenda umwombe msamaha

Its_zizah: Tumekuchoka kwa tabia zako kila siku ww kwann unashindwa akili hata na watoto wadogo kina Lulu na kina Dorice Molel ni wadogo kwako lkn wanajishughulisha na wanajiheshimu sio ww pooo! huna haya kila siku ww tu kuparamiana na wanaume na kugombana na marafiki huna hata project moja ambayo ipo alive atleast you could stick with muna after a year ungekuwa wa maana labda sababu alikuwa anajitahid kukushughulisha upate mkwanja haya poa hayo ndo maisha ulioyachagua na huyo Ndege John wako chaaaa kwakweli Diamond alivumilia mengi kwako mwache akae na amani ss hv ur are a disease i was your fan but not anymore

Valrain: But dead you’ve played the victim for soo long now even now your doing it when does it stop surely we all make mistakes but at some point we learn from them that is growth and maturity. Pick up the pieces, own up to your faults and take responsibility then move on.

Eliqueendimples: Being Sooooo Cheap , Opening your legs wide for men doesn’t make u a good hearted person mtchewwwww πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, next time, when u are warned against small boys…….u won’t say we don’t like you, with this behavior of hoeing, how can u be a role model to the youth ? You deserve everything @wemasepetu

Raynahida: U always like playing the victim.when pple tell u and not only ur fans but pia @mangekimambi_ u jifanya we ndio kujua.with “my life my rules” bullshit.then when shit gets real unajifanya unaonewa.how wud we ever know about ur stupid behaviours if u had ay respect or dignity for urself.jamani wema at ur age vitu zingine zimekupita bana.ungeskiliza mange ungekua mtu wa maana saana bt sasa wewe ni ngazi ya small boys kupanda juu.and u fucking never learn.thus shit goes on and on hata huonangi aibu seriously? ….i am done venting u can block me and everyone else bold enough to give u a piece of their mind. U NEED TO FUCKING GROW UP!!!

Brinnah__: Good heart my foot @wemasepetu who has a good heart you or may be I don’t know the meaning of a good hearted person? Let them lie to your face keep on digging your downfall tz sweetheart and watch from afar the success of smart women like Zari, Jojo, Lulu and the likes.. To think all these foolish ati unatenda mema opening legs to every man who comes your way πŸ˜‚πŸ˜‚ Wema shame on you, do you even know classy? What are you, what did your life your rules law brought you so Far if I may ask? You think your so special huuuh ? We’ll just sit back and see.. Your falling day after day from perfume shop to lipstick .. Yes you live your life but simply because you brought your shit on Ig we will speak our mind, you better start talking control of your life before its too late.. This is Tz it’s not America all the best queen of drama

Eunimms: A real woman takes responsibility of her own actions and learns from her mistakes. Wema you are really letting down the people who root for you every single day. No one is perfect but we owe it to ourselves to learn from our mistakes and better yourself. Listen to the people close to you…it doesn’t make you a lesser person to admit that you are wrong at one time. Love yourself wema…wewe mtoto wa kiislamu and there are millions of girls who are looking up to you. You are advised and loved by many but you take that for granted! Nways,i wish you nothing but success and happiness in your life✌️️✌️️

Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Follow Us

Popular Posts

Powered by Blogger.

MKRdezign

Blog Archive

Technology

[blogger]
Contact us
Ajirayako.co.tz
E-mail: ajirayako@gmail.com
DISCLAIMER:
This Website |Ajirayako.co.tz| is Not Affiliated In Any Way
With The Companies Whose Vacancies Are Published Here.
AVOID SCAMS
Never Pay to Have Your CV/Application Pushed Forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tags

Abdallah Zombe (3) ACT Wazalendo (7) Afande Sele (6) Afya (42) Air Tanzania (11) Ajali (31) Ajira (16) Akson Tulia (4) Alberto Msando (1) Ali Kiba (10) Almaz Ayana (1) Anna Makinda (2) Anthony Lusekelo (1) Arusha (1) Arusha Felix Ntibenda (1) Asha Rose Migiro (2) Askofu Gwajima (6) ATCL (3) Augustine Lyatonga Mrema (4) Aunty Ezekiel (2) Babu Tale (2) Bajeti (1) Bakwata (3) Baletol (1) Bandari (3) Baraka da Prince (2) Bavicha (1) Benjamin Mkapa (1) Benki Kuu Tanzania (1) Bernad Membe (1) Biashara (1) Bodi ya Mikopo (1) Bongo Movies (7) BOT (1) Breaking News (3) Buhari (1) Bungeni (48) Burudani (45) CCM (5) Chadema (20) Charles Kitwanga (3) Chibok (1) Chid Benz (2) Chris Brown (3) Clouds FM (1) CUF (26) Dangote (3) Daniel Ole Njolay (1) Dart (2) David Kafulila (7) Desmond Tutu (2) Diamond Platnumz (18) DJ Fetty (1) Dk. Reginald Mengi (1) Donald Trump (23) Dr Mwaka (1) Dr Mwaka Aacha Vilio Kwa Wagonjwa...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Septemba 30 (1) DR Shein (2) Dr Slaa (4) Dr. Ramadhan Kitwana Dau (1) Edo Kumwembe (1) Edward Lowassa (30) Elimu (75) EPA (1) Escrow (3) Ester Bulaya (9) Faiza Ally (1) Fast Jet (1) Featured (3) Flaviana Matata (1) Freeman Mbowe (31) Fumanizi (1) Gadner (1) George Masaju Masaju (1) Gerald Hando (1) Godbless Lema (31) Godwin Gondwe (1) Halima Mdee (2) Hamad Rashid (1) Harmonize (3) Hillary Clinton (3) Iddi Amini Dadaa (1) Idriss Sultan (2) Iphone (1) Irene Uwoya (1) Ivo Mapunda (1) Jack Wolper (3) Jaji Francis Mutungi (3) Jakaya Kikwete (13) Jambazi (2) James Mbatia (1) January Makamba (1) JB (1) Jecha Salim (1) Jenerali Ulimwengu (1) Jerry Muro (3) Jeshi la Polisi (32) Jobs (1) John Cheyo (1) John Mnyika (3) John Pombe Magufuli (83) Joseph Kabila (2) Josephine Mshumbushi (1) Joshua Nassari (1) Julieth Kairuki (1) Julius Mtatiro (9) Jussa (1) Kamanda Sirro (1) Kenyan News (14) KFC (1) Kicheko (1) Kigwangalla (1) Kilimo (1) Kinana (3) Kitanzi (1) Koffi Olomide (2) Korea (1) Kuliko Jana (1) Leicester City (1) Livingstone Lusinde (1) Lugumi (1) Lulu Michael (1) Maajabu (3) Maalim Seif (14) Madam Rita (1) Madawa ya Kulevya (7) Magazeti (49) Mahakamani (7) Mai Mai (4) Maisha (2) Majambazi (7) Makahaba (1) Makalio Makubwa (1) Makamba (1) Malaika (1) Malezi (1) Mama Salma (1) Man Fongo (2) Man United (1) Mange Kimambi (2) Manji (7) mape (1) Mapenzi (76) Marcus Rashford (1) Mashine ya MRI (1) Matiko (1) Matokeo (3) Mauaji (31) Mauji (2) Mbeya (2) Mbunge Lusinde (1) Mbwana Samatta (8) Mchungaji Anthony Lusekelo (1) Meya wa Kinondoni (1) Michael Shirima (1) Michez (1) Michezo (201) Miss Tanzania (2) Mizengo Pinda (1) Mongela (1) Mr Blue (3) Mrema (7) Mrisho Gambo (3) Mrisho Mpoto (2) Msigwa (2) Mugabe (1) Museven (1) Music (85) Muungano (1) Mwakyembe (2) Mwanafunzi (3) Mwendokasi (1) Mwigulu Nchemba (2) Nape Nnauye (13) Navy Kenzo (1) Nay wa Mitego (2) Ndanda FC (1) Ndugai (1) Necta (3) Nida (1) Nigeria (2) NSSF (1) Nuh Mziwanda (2) Nyerere (1) Obama (9) Ommy Dimpoz (2) Original Comedy (2) Oscar Pistorius (1) Paul Makonda (34) Paul Pogba (2) Pep Guardiola (1) Peter Msigwa (4) Petitman (1) Polisi (4) Pombe (1) Pride (1) Prof Mkumbo (2) Prof. Benno Ndulu (1) Prof. Ibrahim Lipumba (12) Prof. Lipumba (23) Prof. Tibaijuka (3) Profesa Benno Ndulu. (1) Profesa Muhongo (3) Q-Chief (1) Raila Odinga (2) Rais Magufuli (35) Ray C (1) Reginald Mengi (2) Rihanna (1) Robert Mugabe (4) Ruby (5) Rushwa (3) Sadaka (1) Saed Kubenea (3) Saida Karoli (2) Salama Jabir (1) Salum Mwalimu (2) Samia Suluhu (1) Samsung Galaxy (1) Samwel Sitta (5) Sauti Sol (1) SBL (1) Scorpion (3) Serengeti Boys (1) Shamsa Ford (2) Sheikh Abubakar Zubeiry (2) Shibuda (2) Shilole (1) Siasa (1945) Siasa Huru App (3) Siasa za Kenya (1) Simba (1) Slaa (1) Snura (1) South Africa (1) Sudan (1) Sugu (1) Sukari (4) Sumaye (8) Supu ya Pweza (1) Tanesco (9) Tanzia (22) TB Joshua (4) TBS (1) TCRA (5) TCU (4) Technology (3) Tetemeko (13) TFDA (1) Thereza May (1) Thomas Mashali (1) TRA (4) Tundu Lisu (20) Tyrant (1) Ubakaji (4) Uchambuzi (1) Uchawi (1) Uchumi (90) Udaku (46) Udaku Spesho (21) UDSM (1) Ufisadi (2) Ugaidi (6) Uhuru Kenyatta (2) Ujambazi (4) Ujauzito (1) Ukahaba (1) Ukatili (1) Ukawa (11) Ukuta (11) Ummy Mwalimu (1) Urembo (15) Ushirikina (1) Utafiti (2) Utapeli (3) UVCCM (4) Vioja (1) Wastara (1) Watumishi Hewa (1) Waziri Mahiga (2) Waziri Mkuu Majaliwa (18) Wema Sepetu (6) Wiliam Lukuvi (6) Yanga (7) Yaya Toure (1) Zitto Kabwe (33) Zuckerberg Mark (1)

Categories

Advertisement

Main Ad

Facebook

Responsive Ads Here

Featured

Recent

Udaku Special Test

Copyright © Udaku Special Test | Powered by Blogger