Takriban wanaume 150 walijiandisha kufanyiwa shughuli hiyo iliyochukua muda wa takriban dakika 20.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.

Madaktari walifanya shughugli hiyo nyuma ya jukwaa lilifunikwa katika ukumbi wa sanaa mjini Nairobi.
Wamaume nchini Kenya ambao mara nyingi wana hofu ya kufanyiwa zoezi hilo la kupanga uzazi mara nyingi uhofia kunyanyapaliwa.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Wale wanaoendesha kampeni ya zoezi hilo wanasema kuwa ndiyo njia salama ya kupanga uzazi.
“Wanaume wengi hudhani kuwa zoezi hilo humbadili mwananamme kuwa mwanamke,” Jack Zhang ambaye ni daktari kutoka Canada aliiambia BBC.
Baadhi ya wanaume wana hofu kuwa watu hufa kwa wingi barani Afrika kwa hivyo kuna haja ya kuzaa watoto wengi.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Mwandishi wa BBC mjini Nairobi, anasema kuwa baadhi ya wanaume walishiriki zoezi hilo baada ya kuchochewa na gharama ya kulea familia kubwa.
“Mbinu ambazo mke wangu alikuwa akitumia kupanga uzazi, zilikuwa na madhara kwake, kwa hivyo mimi niliamua kwenda kukatwa mirija ya ya uzazi,” mwanamme moja aliiambia BBC.
Chanzo: bbcswahili
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment