Mrembo Tunda |
Sababu za kuvunjika kwa uhusiano huo imetajwa kuwa ni baada ya Tunda kuanza kutoka kimapenzi na mwimbaji star Diamond Platnumz na weekend iliyopita walikuwa wote Zanzibar kwenye show ya Diamond.
Soudy Brown ameipata sauti ya Tunda akijieleza na kujitetea kwa Sponsor wake juu ya kuonekana kwake Zanzibar akiwa karibu na crew ya Diamond Platnumz.
“Mimi nilienda Zanzibar sikwenda kwa Diamond nilienda na Posh na bwana ake Posh kama una namba ya Posh mpigie umuulize, Kwani haumjui Posh yule rafiki yangu wa Kariakoo nilikwambia kuna rafiki yangu ana bwana mchina amemuoa. Ndo alinipigia tukaenda wote Zanzibar”;-Tunda
Kuipata stori kamili bonyeza Play hapa chini:
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment