Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Dec 7, 2016
MABORESHO Mengine Yaliofanyika Kwenye Mtandao wa Instagram
Kadri sayansi na teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyoboreshwa kila siku, Instagram imeingia kwenye headlines ambapo December 6 2016 imefanyiwa maboresho zaidi ambapo awali mtu alikuwa anaweza ku-comment kwenye picha ya mtu na bila kuwa na uwezo wa ku-like
Lakini kwa sasa unapo-comment kwenye picha ya mtu yule mwenye picha yake anaweza kujibu na ku-like comment hiyo tofauti na ilivyokuwa zamani mtu anaweza kujibu comment kwa ku-comment. Huu ni mfano wa maboresho hayo yanavyoonekana kwa sasa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Weka Maoni yako Hapa
0 [disqus]:
Post a Comment