Kadi za salamu za krismasi hutumwa kwa watu mbalimbali wakitakiana sikukuu njema ya Krismasi. Huu ni utamadauni ambao umejengeka kwa miaka mingi vizazi na vizazi.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa ametuma salamu zake za sikukuu kwa watanzania wote.
Aidha, wakati huo juo katika hali inayoaminika kuwa ni mwendelelzo wa serikali kubana matumizi, Wizara ya Fedha na Mipango imetuma kadi za ‘soft copy’ kwa wafanyakazi wake tofauti na miaka ya nyuma ambapo kila mfanyakazi hutumiwa nakala ya karatasi ‘hard copy.’
Salamu za Krismasi kutoka wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa #Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa. pic.twitter.com/Ydowe9t5Vt— Swahili Times (@swahilitimes) December 25, 2016
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment