Ndugu zangu,
Wakati tukipata Uhuru wetu, ukiacha Bungeni, kwenye Baraza la Mawaziri kulikuwa na Wazungu na Wahindi pia.
Hapa tunawazungumzia mawaziri aina ya Dereck Brysson na Ameir Jamal. Kwenye Uchaguzi wa mwaka 1958, TANU iliingiza Bungeni Wazungu 10 na Waasia 11.
Je, hali ikoje leo?
Maggid,
Iringa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment