Kamanda Mpinga amesema hayo wakati wa mahojiano maalumu na gazeti hili na kusema kuwa katika kipindi cha Januari hadi Novemba mwaka jana, makosa yaliyotokea nchini ni milioni 1.9 huku Dar es Salaam ikiwa na theluthi ya makosa hayo.
“Kamera hizo hazitajali kuwa ni gari ya Waziri, Serikali, wala Mpinga na zitapiga picha gari zote kama ilivyo kwa msemo wa kupanga ni kuchagua,” amesema.
Amesema kuwa makosa hayo yalitokana na ulevi, mwendo wa kasi, kupita katika taa nyekundu, kukatisha safari na kutokuvaa kofia ngumu.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment