Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa ACT Wazalendo Abdalah Hamis imesema chama hicho kimeona alichokiandika Afande Sele na wamechukulia kama maoni ya mwanachama wa kawaida na wanayeheshimu maoni hayo hata kama sio sahihi wanayapokea na hawawezi kumchukulia hatua zozote kwasababu wamechukua ni kama maono yake.
Yeye ametoa maoni kama mwananchi wa kawaida hivyo hatuwezi kumjibu kama chama kwasababu amelezea hisia zake na kama kutakua kuna ukweli tutafanyia kazi na kama hakuna ukweli basi tutazipuuza taarifa hizo: Msemaji:- ACT Wazalendo
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:



0 [disqus]:
Post a Comment