EFF wamesema Rais Zuma hasitahili kuhutubia bunge kutokana na maamuzi ya mahakama dhidi yake hivi karibuni, baada ya kiongozi wa EFF, Malema Julius kutolewa bungeni aliwaambia waandishi wa habari: ’Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye alishindwa kutekeleza, kutetea na kuilinda katiba’
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment