Chanjo ya Ukimwi |
janga hilo barani Afrika.
Watu 2.1 million waliambukizwa virusi vya ukimwi mwaka 2015 barani Afrika, theluthi mbili ya maambukizi hayo yalitokea kusini mwa jangwa la sahara.
Watu 252,000 waliandikishwa ama kupokea chanjo ijulikanayo kama ALVAC-HIV/gp120, au placebo kwa kulinganisha kiasi gani cha kinga kinatengenezwa mwilini kwa muhusika.
Matokeo yatawasiliswa leo tarehe 21/07 katika mkutano wa kimataifa wa AIDS mjini Durban, Afrika kusini.
Chanjo kama hii ilifanywa nchini Thailand mwaka 2009 na ilionyesha uwezo mkubwa wa kumkinga mtu dhidi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia 31%.
Chanjo hii imeboreshwa zaidi kwa ajili ya matumizi ya nchi zenye hatari ya kuwa na maambukizi zaidi zilizo kusini mwa jangwa la sahara, ambapo kuna aina tofauti za virusi hivyo.
Watu wapatao 5400 katika miji minne tofauti nchini Afrika kusini watapata chanjo hii Novemba na kuwa nayo kwa mda wa miaka mitatu
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment