Aug 17, 2016

INASIKITISHA..Wananchi Wachangia Maji ya Kunywa na Fisi na Ngombe


BAADHI ya wananchi wa mitaa ya kata za Lwanima  na Kishili  wilayani Nyamagana wanachangia  maji ya visima vya asili  na fisi, ng’ombe na  mbweha kutokana na kukosa huduma kutoka  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).

Kitendo hicho kimeonekana kuleta hofu  kwa  wakazi hao wakidai kupatwa na magonjwa kwa sababu wamekuwa wakikuta vinyesi katika  visima vya maji.

Mbali ya  magonjwa, wanawake wengi wa mitaa hiyo wamekuwa wakiamka  kati ya saa 11.00 na 12.00 ri na kuacha watoto ndani kwa ajili  kuwahi kuchota maji  na   wengine wamekuwa wakikutana na fisi wakiwa visimani, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao.

Mpaka sasa tayari familia  moja ya Mwarabu Benard imepatwa na athari ya mtoto wao, Profipeli Mwarabu (miezi minane), kufariki dunia  hivi karibuni baada ya kuungua moto saa 12.00 asubuhi akiwa ndani ya nyumba wakati mama yake, Honatha Timatheo, akiwa amekwenda kuchota maji katika   visima hivyo.

Tukio hilo lilisababisha Mbunge wa   Nyamagana, Stanslaus Mabula (CCM)   na Mkurugenzi wa Mwauwasa,  Antony Sanga  kwenda katika   familia hiyo na kutoa mkono wa pole  pamoja na kutembelea mitaa yenye ukosefu wa maji na wakaahidi  kupeleka huduma hiyo haraka.

MTANZANIA ilitembelea baadhi ya visima vya asili katika mitaa  mbalimbali ya kata hizo pamoja na bonde la linalotenganisha Kata ya Lwanima na Kishili  kwa nyakati tofauti na kushuhudia jinsi wanawake  wanavyohangaika kugombania  maji.

Kisima kimoja cha asili maarufu kinachojulikana kwa jina la Kibundululu ambacho kinatumiwa na wakazi wa Bushitu, Kakebe, Majengomapya na Kilimo, kimekuwa msaada mkubwa kwa wananchi hao lakini ng’ombe wa maeneo hayo wamekuwa  wakinywa maji   mchana na kujisaidia humo.

Faustina Christopher ambaye ni miongoni mwa wanawake ambao huwahi   kuchota maji hayo, alisema  analazimika kuwahi alfajiri ili kupata maji masafi.

Alisema wakati mwingine amekuwa akikutana na fisi maeneo hayo.

Edna Samweli, alisema kutokana na kuwa na biashara yake ya mhagawa amekuwa akiwahi kwenda kisimani alfajiri kabla ya ng’ombe  kuyachafua kwa vile maji hayo wakati wa  mchana yamekuwa yakinuka kinyesi cha mifugo.

Hata hivyo visima vingine vilivyopo bonde linalotenganisha kata za Lwanima na Kishili vimekuwa na idadi kubwa ya wananchi wanaochota maji, huku  wafugaji nao wakitegemea kunywesha hapo.

Wakazi hao wameiomba Serikali hususan Mwauwasa, kuwapatia huduma ya maji ikizingatiwa wamekuwa wakiteseka kwa kiasi kikubwa wakati wa kiangazi, kama ilivyo sasa.

Akizungumza na MTANZANIA, Mkurugenzi wa Mwauwasa,  Sanga alisema   mamlaka imetenga  fedha kwa ajili ya kununua mabomba ya kusambaza maji.

“Tunaomba wananchi watuvumilie kwa kuwa tayari watalaamu wametembelea maeneo hayo na kuchukua takwimu za bomba zinazotakiwa kusambazwa.

“Tutaunganisha maji kutoka Mahina, kupitia Kakebe na kuelekea Majengomapya , Kilimo hadi Kanindo, kazi hii itaanza kufanyika ndani ya mwezi huu,”alisema.


Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Follow Us

Popular Posts

Powered by Blogger.

MKRdezign

Blog Archive

Technology

[blogger]
Contact us
Ajirayako.co.tz
E-mail: ajirayako@gmail.com
DISCLAIMER:
This Website |Ajirayako.co.tz| is Not Affiliated In Any Way
With The Companies Whose Vacancies Are Published Here.
AVOID SCAMS
Never Pay to Have Your CV/Application Pushed Forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tags

Abdallah Zombe (3) ACT Wazalendo (7) Afande Sele (6) Afya (42) Air Tanzania (11) Ajali (31) Ajira (16) Akson Tulia (4) Alberto Msando (1) Ali Kiba (10) Almaz Ayana (1) Anna Makinda (2) Anthony Lusekelo (1) Arusha (1) Arusha Felix Ntibenda (1) Asha Rose Migiro (2) Askofu Gwajima (6) ATCL (3) Augustine Lyatonga Mrema (4) Aunty Ezekiel (2) Babu Tale (2) Bajeti (1) Bakwata (3) Baletol (1) Bandari (3) Baraka da Prince (2) Bavicha (1) Benjamin Mkapa (1) Benki Kuu Tanzania (1) Bernad Membe (1) Biashara (1) Bodi ya Mikopo (1) Bongo Movies (7) BOT (1) Breaking News (3) Buhari (1) Bungeni (48) Burudani (45) CCM (5) Chadema (20) Charles Kitwanga (3) Chibok (1) Chid Benz (2) Chris Brown (3) Clouds FM (1) CUF (26) Dangote (3) Daniel Ole Njolay (1) Dart (2) David Kafulila (7) Desmond Tutu (2) Diamond Platnumz (18) DJ Fetty (1) Dk. Reginald Mengi (1) Donald Trump (23) Dr Mwaka (1) Dr Mwaka Aacha Vilio Kwa Wagonjwa...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Septemba 30 (1) DR Shein (2) Dr Slaa (4) Dr. Ramadhan Kitwana Dau (1) Edo Kumwembe (1) Edward Lowassa (30) Elimu (75) EPA (1) Escrow (3) Ester Bulaya (9) Faiza Ally (1) Fast Jet (1) Featured (3) Flaviana Matata (1) Freeman Mbowe (31) Fumanizi (1) Gadner (1) George Masaju Masaju (1) Gerald Hando (1) Godbless Lema (31) Godwin Gondwe (1) Halima Mdee (2) Hamad Rashid (1) Harmonize (3) Hillary Clinton (3) Iddi Amini Dadaa (1) Idriss Sultan (2) Iphone (1) Irene Uwoya (1) Ivo Mapunda (1) Jack Wolper (3) Jaji Francis Mutungi (3) Jakaya Kikwete (13) Jambazi (2) James Mbatia (1) January Makamba (1) JB (1) Jecha Salim (1) Jenerali Ulimwengu (1) Jerry Muro (3) Jeshi la Polisi (32) Jobs (1) John Cheyo (1) John Mnyika (3) John Pombe Magufuli (83) Joseph Kabila (2) Josephine Mshumbushi (1) Joshua Nassari (1) Julieth Kairuki (1) Julius Mtatiro (9) Jussa (1) Kamanda Sirro (1) Kenyan News (14) KFC (1) Kicheko (1) Kigwangalla (1) Kilimo (1) Kinana (3) Kitanzi (1) Koffi Olomide (2) Korea (1) Kuliko Jana (1) Leicester City (1) Livingstone Lusinde (1) Lugumi (1) Lulu Michael (1) Maajabu (3) Maalim Seif (14) Madam Rita (1) Madawa ya Kulevya (7) Magazeti (49) Mahakamani (7) Mai Mai (4) Maisha (2) Majambazi (7) Makahaba (1) Makalio Makubwa (1) Makamba (1) Malaika (1) Malezi (1) Mama Salma (1) Man Fongo (2) Man United (1) Mange Kimambi (2) Manji (7) mape (1) Mapenzi (76) Marcus Rashford (1) Mashine ya MRI (1) Matiko (1) Matokeo (3) Mauaji (31) Mauji (2) Mbeya (2) Mbunge Lusinde (1) Mbwana Samatta (8) Mchungaji Anthony Lusekelo (1) Meya wa Kinondoni (1) Michael Shirima (1) Michez (1) Michezo (201) Miss Tanzania (2) Mizengo Pinda (1) Mongela (1) Mr Blue (3) Mrema (7) Mrisho Gambo (3) Mrisho Mpoto (2) Msigwa (2) Mugabe (1) Museven (1) Music (85) Muungano (1) Mwakyembe (2) Mwanafunzi (3) Mwendokasi (1) Mwigulu Nchemba (2) Nape Nnauye (13) Navy Kenzo (1) Nay wa Mitego (2) Ndanda FC (1) Ndugai (1) Necta (3) Nida (1) Nigeria (2) NSSF (1) Nuh Mziwanda (2) Nyerere (1) Obama (9) Ommy Dimpoz (2) Original Comedy (2) Oscar Pistorius (1) Paul Makonda (34) Paul Pogba (2) Pep Guardiola (1) Peter Msigwa (4) Petitman (1) Polisi (4) Pombe (1) Pride (1) Prof Mkumbo (2) Prof. Benno Ndulu (1) Prof. Ibrahim Lipumba (12) Prof. Lipumba (23) Prof. Tibaijuka (3) Profesa Benno Ndulu. (1) Profesa Muhongo (3) Q-Chief (1) Raila Odinga (2) Rais Magufuli (35) Ray C (1) Reginald Mengi (2) Rihanna (1) Robert Mugabe (4) Ruby (5) Rushwa (3) Sadaka (1) Saed Kubenea (3) Saida Karoli (2) Salama Jabir (1) Salum Mwalimu (2) Samia Suluhu (1) Samsung Galaxy (1) Samwel Sitta (5) Sauti Sol (1) SBL (1) Scorpion (3) Serengeti Boys (1) Shamsa Ford (2) Sheikh Abubakar Zubeiry (2) Shibuda (2) Shilole (1) Siasa (1945) Siasa Huru App (3) Siasa za Kenya (1) Simba (1) Slaa (1) Snura (1) South Africa (1) Sudan (1) Sugu (1) Sukari (4) Sumaye (8) Supu ya Pweza (1) Tanesco (9) Tanzia (22) TB Joshua (4) TBS (1) TCRA (5) TCU (4) Technology (3) Tetemeko (13) TFDA (1) Thereza May (1) Thomas Mashali (1) TRA (4) Tundu Lisu (20) Tyrant (1) Ubakaji (4) Uchambuzi (1) Uchawi (1) Uchumi (90) Udaku (46) Udaku Spesho (21) UDSM (1) Ufisadi (2) Ugaidi (6) Uhuru Kenyatta (2) Ujambazi (4) Ujauzito (1) Ukahaba (1) Ukatili (1) Ukawa (11) Ukuta (11) Ummy Mwalimu (1) Urembo (15) Ushirikina (1) Utafiti (2) Utapeli (3) UVCCM (4) Vioja (1) Wastara (1) Watumishi Hewa (1) Waziri Mahiga (2) Waziri Mkuu Majaliwa (18) Wema Sepetu (6) Wiliam Lukuvi (6) Yanga (7) Yaya Toure (1) Zitto Kabwe (33) Zuckerberg Mark (1)

Categories

Advertisement

Main Ad

Facebook

Responsive Ads Here

Featured

Recent

Udaku Special Test

Copyright © Udaku Special Test | Powered by Blogger