Ikumbukwe kuwa fedha za Mfuko wa Jimbo si za Mbunge bali ni za Serikali zinazotolewa kuboost shughuli za maendeleo Jimboni ambapo kuna kamati maalum inayoratibu na kupanga matumizk ya fedha hizo.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Hongera Mheshimiwa Esther Bulaya
Akikabithi Madawati Baada ya Kufuta jina lake |
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment