Prof Lipumba |
Profesa Lipumba akiwa katika kipindi cha power Breakfast cha clouds FM leo September 8 2016 kaelezea jinsi namna deni la Taifa linalipwa na kama ni kila mtanzania anatakiwa kulipa……..
’Deni la taifa ni tofauti na lako wewe mwenyewe, ni kodi ndiyo ambayo itakayolipia deni hilo kwa hiyo kama mmedaiwa sana, mmekopa sana utakuta sehemu kubwa inakwenda kulipia deni badala ya kwenda kutoa huduma‘
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment