Utoaji wa tuzo za MTV Mama 2016zinazoandaliwa na kituo cha TV cha MTV Base Africa ulikamilika usiku wa October 22 2016Johannesburg Afrika Kusini, msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz alikuwa ni mmoja kati ya wasanii wa Tanzania waliokuwa nominated kuwania tuzo hizo.
Diamond alikuwa kateuliwa kuwania tuzo mbili za msanii bora wa mwaka na msanii bora wa kiume, tuzo ambazo zote alishinda Wizkid waNigeria, muda mchache baada ya tuzo kumalizika Diamond Platnumz alitumia account yake ya Instagram kuwashukuru wote na kuwapongeza washindi akioneshwa kukubali matokeo.
“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa…. pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika kuchaguliwa… Kuingia tunwengi kwenye MtvAwards ni Ushindi tosha kwaTanzania…ila wanna congrats my brothers@sautisol for the Best Group award… my hommie @jahprayzah and@wizkidayo ya’ll deserve the Trophies…
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment