Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga huenda akawa mmoja wa viongozi watakaoshuhudia show ya Chris Brown mjini Mombasa. Kiongozi huo wa chama cha ODM amepost picha Facebook akiwa na Alikiba pamoja na Gavana wa mji huo, Hassan Joho mbele ya tamasha la Mombasa Rocks litakalofanyika leo mjini humo.
Alikiba na Vanessa Mdee watamsindikiza staa huyo wa Marekani kwenye tamasha hilo la aina yake mjini Mombasa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
0 [disqus]:
Post a Comment