Rais Magufuli leo amesisitiza kuwa Serikali itayauza majengo yake yote jijini Dar pale Serikali itakapohamia rasmi mkoani Dodoma.
Amesema jiji la Dar litabakia kuwa jiji la kibiashara na Dodoma kuwa makao makuu ya Serikali.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment