Kwa mara ya kwanza katika historia ya mabenki ukiacha enzi zile za Meridian Biao, ni wazi sekta ya benki inapitia hali tete na kama hatua zisipochukuliwa, miaka miwili ijayo tutabaki na benki moja tu hivyo wajasiliamali kulazimika kupanga foleni miezi hata mitatu minne kupata mkopo.
Barclays nao wamewaambia wafanyakazi wao kwamba benki yao inapitia kipindi kigumu kifedha na wameamua kufuta baadhi ya shughuli ndogo kabisa kama family day. Hii ni ishara kubwa kwamba nao wamepata hasara baada ya CRDB.
SOURCE:Jamii Forums
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment