Sitta, aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, alifariki dunia Novemba 7, akiwa Ujerumani alikokwenda kutibiwa tezi dume na siku iliyofuata alifariki Mungai, aliyekuwa Waziri wa Elimu wa Serikali ya Awamu ya Tatu.
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii lilikuwa ni kutoonekana kwa Lowassa, ambaye hivi sasa ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.
Lowassa aliliambia gazeti hili jana kuwa, kilichomkwamisha kufika kwenye misiba hiyo ni kuwa safarini Afrika Kusini alikokwenda kumuangalia mdogo wake, Bahati Lowassa aliyekuwa mgonjwa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Maelezo hayo ya Lowassa hayajitoshelezi mtu kama huyo mwenye uwezo wa kuchukua hata ndege binafsi akawahi mazishi na kurudi tena south. Hapa napata shida kabisa kuelewa there must be another reasons. Awe open tu kwa wananchi. Hasa sisi CHADEMA
ReplyDeleteMaelezo hayo ya Lowassa hayajitoshelezi mtu kama huyo mwenye uwezo wa kuchukua hata ndege binafsi akawahi mazishi na kurudi tena south. Hapa napata shida kabisa kuelewa there must be another reasons. Awe open tu kwa wananchi. Hasa sisi CHADEMA
ReplyDelete