Wayne Rooney |
Stori kutoka kwenye gazeti la The Sun limemtoa Rooney ukurasa wa mbele huku likieleza kuwa staa huyo amenaswa akiwa katika sherehe ya harusi, baada ya picha hizo kuenea kocha wa Man United Jose Mourinho amewalaumu viongozi wa FA kwa kitendo cha kumruhusu Rooney kulewa.
Mourinho ameonekana kuwalaumu zaidi viongozi wa chama cha soka cha England FA na sio Rooney kutokana na gazeti la The Sun kuwataja viongozi FA kuwa ndio walikuwepo katika harusi hiyo, Mourinho hawezi kuelewa kambi ya timu ya taifa ya England inavyoendeshwa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment