Endapo zitto kabwe akigombea uraisi kupitia act wazalendo mwaka 2020 baada ya uchaguzi kumalizika act kitaibuka kuwa chama kikuu cha upinzani kutokana sababu zifuatazoo.
1. Siasa za zitto kabwe kwa sasa zinakubalika mikoa ya kusini, kanda ya ziwa, kanda ya kati,
2. Lakini pia upande wa waisilamu safali inayokuja watakuwa na mwelekeo wa kumuunga mkono zitto kabwee.
3. Pili hoja za richmond, escow, epa ndizo zitakazombeba zitto kabwee kisiasaa.
4. Umahiri wa zitto kabwe akiwa bungeni. Katika kujenga hojaa.
5. Zitto kabwe licha ya yotee bado ni kijanaa mdogo anayekubalikaa.
6. Lakini pia safali hii tungependa kuona amsha amshaa ya kisiasa toka kwa wanasiasa tokea kigoma.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment