ALEPPO, SYRIA: Watu 5 wamefariki Dunia, baada helikopta ya Kijeshi ya Urusi kutunguliwa waasi Kaskazini mwa Syria ikiwa imetoka kutoa misaada.
Ndege hiyo aina ya Mi-8 ilikuwa na wafanyakazi watatu wa ndege na maafisa wawili wa kijeshi
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment