DAR: Jeshi la Polisi linamshikilia Yoram Mbyellah kwa kuuza fulana zenye nembo ya CHADEMA huku nyingine zikiwa na maneno 'UKUTA'. Kamanda Sirro amesema wamejiandaa kudhibiti maandamano UKUTA yaliyoandaliwa na CHADEMA Septemba Mosi
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment