MAHUSIANO: Nimeolewa nina watoto wa 2. Mume wangu hunitamkia maneno yanayoumiza sana.
Maneno kama nimeshakuzalisha, sikutaki tena, najuta kuwa na wewe kuna wanawake warembo zaidi yako... Una maoni gani juu ya wanaume wenye kauli kama hizo kwenye ndoa?
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment