Taarifa hiyo ilisema ‘Watakaogonga Mabasi ya UDART FAINI 300000’, afisa uhusiano wa DART William Gatambi amesema haya:
‘Amenukuu vibaya hizo sheria ndogondogo bado zinafanyiwa kazi wizarani, aliyezungumza alikuwa anatoa mfano tu sio kwamba ndio kiwango rasmi’
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment