Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
By Tozi25/Jamii Forums
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
nice Allen, sure viongozi waangalie maslahi ya wananchi also wananchi na sisi tujiongeze sio kufwata kila kauli!
ReplyDeleteKweli kama hawafanyi fujo waruhusiwe
ReplyDelete