KUTOKA BUNGENI: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya mawasilianao na mataifa ambayo yanafanya shughuli za bandari na wamesema suala la mdororo wa usafirishaji wa mizigo kwa meli limeshuka duniani kote.
Alikuwa akijibu swali aliloulizwa na Freeman Mbowe kuhusu kuyumba kwa hali ya uchumi nchini unaosababishwa kupungua kwa mizigo bandarini
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment