Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya uzinzi na baba mkwe wake. Kwa kweli nilishtushwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu. Naombeni ushauri sijui la kufanya hapa By Amos
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
0 [disqus]:
Post a Comment