Janga kubwa linalowatafuna wasomi wengi ni kutegemea vyeti kama mkombozi wao kiuchumi; badala ya kutegemea uwezo wao kiakili. Ndio maana wakikosa ajira wanachanganyikiwa na wakiwa ajirani wanachanganyikiwa zaidi kwa mishahara isiyotosha kutimiza ndoto zao. Ukienda shule nenda kwa mtazamo wa kupata maarifa ambayo hata kama vyeti vitakuwa kabatini; yatakufanikisha. #SmartMind
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
0 [disqus]:
Post a Comment