Ngassa amemalizana na Fanja kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, leo.
Wakati Ngassa aliyevunja mkataba na Free State Stars ya Afrika Kusini akimalizana na Fanja FC, tayari klabu hiyo ilishamsajili Danny Lyanga kutoka Simba.
Lyanga amejiunga na Fanja rasmi baada ya kufuzu majaribio na kupewa mkataba wa miaka miwili.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment