Rais John Magufuli leo ametishia kubadilisha noti, ikiwa ni kama njia ya kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha majumbani.
Rais amezungumza hayo katika mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment