Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.
Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, "No research no right to speak"
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Nimesikiliza sana hotuba ya mkuu na bwana mdogo RC wa dar
ReplyDeleteInashangaza wote wawili hotuba zao zimejaa. Kuwashambulia watu kwa mafumbo
Inshangaza mkuu eti hamjui meya wa dar anatoka chama gani
Hangiii kichwani kabisa
Hawajuandaliwa risala pale
Kwani kila alikuwa akisema kimuijiacho kichwani
Wassadizi wa mkuu mwandalieni risala fupi na nzuri
Kwani nafikiri wacanada walichoka na maelezo ya wote waliosoma risala
Kwani walikuwa wanarudia Yale Yale
Kwa wazungu au western time is money
Na pale hapakuwa mahali pa kuzungumzia CCM , ukawa au chadema
Pesa zile ni zetu sote watanzania
Ya ilani hayakuhusu pale
Upigaji picha ilikuwa kama vurugu mechi
Simama kaa
Watayarishaji jiaandani
Picha za mkuu ziwe kwa watu maalumu waliotayarishwa
Usijali baba,wanyonge na ambao tulikuwa hatujazoea pesa za mkato tuko na wewe.Tunaomba Mungu huyo pepo wakutoutamani tena au kuujutia urais asiendelee,tunakuhitaji kwa miaka 10 kama ilivyo ada,umeleta heshima TZ kwa saaana tu.MUNGU AKUBARIKI.
ReplyDeleteMBELE KWA MBELE BABA,TATIZO LA MITANDAO YA KIJAMII INATUFANYA KUSHINDWA KUTENGENEZA TULIPOJIKWAA, MAANA KWA WASIOJUA KUTUMIA VIZURI MITANDAO WAO KILA SIKU NI WA KUKOSOA TU.
ReplyDelete