SOMALIA: Jenerali Mohamed Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa na Al-Shaabab.
Al-Shabaab wamekiri kutekeleza shambulio hilo, wadai wamechukua hatua hiyo baada ya kubaini Jenerali huyo alikuwa amepanga njama dhidi yao.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment