
Ofisi ya Makamu wa Rais imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo haina ukweli wowote.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:


0 [disqus]:
Post a Comment