Pogba aliyesajiliwa kwa pauni milioni 100 hadi sasa fedha hiyo imerudi kutokana na mauzo ya jezi yake. Tangu kuanza kuuzwa kwa jezi yake namba 6 wiki tatu za mwanzo tangu ajiunge na Man U amefikisha zaidi ya pauni milioni 200.
Ni jezi ya mchezaji gani wa kibongo unaweza kununua kwa Tsh 100,000/- ? funguka hapa
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment