Sep 4, 2016

USHAURI Kwa Rais Magufuli Kuhusu Kupungua Kwa Mizigo Bandarini 'Tubadili Gia'

Rais wangu Magufuli
Baada ya harakati za kutumbua majipu, changamoto ya uhaba wa sukari, wafanyakazi hewa kuna hili lingine linazidi kushamiri katika vichwa vya watanzania.

Nalo ni kupungua kwa mizigo Bandarini kunakopelekea kupungua kwa mapato.
Hivi sasa kila mtu anajua kuwa Mizigo imepungua bandirini Mpaka tusio wataalam wa maswala ya bandari sasa tumeukariri wimbo huu.

Mwanzoni wakuu wa bandari walizani ni hali ya mpito tu wakawa wanakanusha kuwa mizigo ipo ya kutosha .

Sasa naona wameshtuka, wameona hali imezidi kuwa mbaya.
Mpaka mizigo ya nchi rafiki yetu kipenzi Rwanda imepungua kwa 47%.
Mheshimiwa Rais, 

Pale Bandarini shida haikuwa kutokulipa Kodi na tozo. Shida ilikuwa Kodi tunazolipa haziendi serikalini. Ndio mana umesikia mfanyakazi wa TRA na Bandari alikuwa anahitaji kufanya kazi wiki Tatu tu kujenga ghorofa.

Na Ndio mana ukasikia mfanyakazi mwingine anamiliki nyumba zaidi ya 100.
Shida sio kuongeza Kodi, shida Kodi hazikuwa zinafika serikalini. Ndio mana maafisa wako walikuwa wanaweza kupokea milioni 50 na kutoa risiti ya milioni 20.
Nakushauri badili mfumo wa Kodi. 

Ijulikane wazi kwamba bidhaa fulani iliyonunuliwa kwa gharama fulani Kodi yake ni shilingi fulani. 
Tofauti na Sasa, Leo hakuna fomula ya Kodi, anakuja bwana Kodi anafungua kontena Kisha anakadiria yeye Kodi, na anachosema yeye ndio hugeuka kuwa sheria
Ndio mana kunakuwa na udanganyifu mwingi.

Tunawaonea bure wajasiriamali kuwapandishia Kodi kwa kuongeza VAT kila kukicha. Shida ni maafisa wako. Waambie wapeleke Kodi serikalini. Ondoa utaratibu wa kukadiriwa na watu ambao unachochea rushwa na kupoteza mapato, weka mfumo wa moja kwa moja kuwe na bei elekezi.
Weka Kodi ndogo na ya wastani ili uipate nyingi kwa wakati mfupi. Kuliko kuweka Kodi kubwa ambayo utaipata kidogo kwa wakati mrefu.

Ona sasa hata magari yenye plates number za majina yamepungua kusajiriwa na hayaonekani mtaani zaidi ya yale yaliyosajiriwa mwaka wa fedha uliopita. Hii ni Baada ya kupandisha kufikia milioni 10 kutoka 5. Ningekuwa mimi Ndio napanga hili ningeshusha Mpaka milioni 2 au 3 badala ya kupandisha.

Huo ni mfano tu
Vinginevyo hizi kelele zitaongezeka kila siku kila leo.
Ona Sasa kamati ya Bunge ya Bajeti inalalamika
Mbunge Martha mlata wa CCM analalamika
Mbunge Dalali kafumu wa CCM na mwenyekiti wa kamati ya Bajeti analalamika
Marry Mwanjelwa wa CCM analalamika.

Hawa Ndio waliopitisha kwa vigeregere na shangwe kubwa Bajeti na kanuni mpya hizi bungeni lakini Sasa wamegundua kwamba walipotoshwa.

Mheshimiwa Mkuu wa Kaya, Hili ni Taifa letu sote, hatupambani hatukomeshani, Tunashauriana.
Tunashauriana namna bora ya kwenda kufikia nchi ya viwanda tunayoiota sote.

Mkuu, Taifa linaendelea kwa kujaribu, kutenda, na kukosea, wazungu wanaita try and errors.
Tumelijaribu Hili la TPA na TRA naona tumekosea, tusilaumiane, tusitafute mchawi Mkuu.
Tubadili Gia tusonge mbele. Taifa letu ni Hili Hili na hakuna wa kubadilishana nalo.
Ndimi. 

Habib Mchange
Mwanachi. 
0762178678

Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Follow Us

Popular Posts

Powered by Blogger.

MKRdezign

Blog Archive

Technology

[blogger]
Contact us
Ajirayako.co.tz
E-mail: ajirayako@gmail.com
DISCLAIMER:
This Website |Ajirayako.co.tz| is Not Affiliated In Any Way
With The Companies Whose Vacancies Are Published Here.
AVOID SCAMS
Never Pay to Have Your CV/Application Pushed Forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tags

Abdallah Zombe (3) ACT Wazalendo (7) Afande Sele (6) Afya (42) Air Tanzania (11) Ajali (31) Ajira (16) Akson Tulia (4) Alberto Msando (1) Ali Kiba (10) Almaz Ayana (1) Anna Makinda (2) Anthony Lusekelo (1) Arusha (1) Arusha Felix Ntibenda (1) Asha Rose Migiro (2) Askofu Gwajima (6) ATCL (3) Augustine Lyatonga Mrema (4) Aunty Ezekiel (2) Babu Tale (2) Bajeti (1) Bakwata (3) Baletol (1) Bandari (3) Baraka da Prince (2) Bavicha (1) Benjamin Mkapa (1) Benki Kuu Tanzania (1) Bernad Membe (1) Biashara (1) Bodi ya Mikopo (1) Bongo Movies (7) BOT (1) Breaking News (3) Buhari (1) Bungeni (48) Burudani (45) CCM (5) Chadema (20) Charles Kitwanga (3) Chibok (1) Chid Benz (2) Chris Brown (3) Clouds FM (1) CUF (26) Dangote (3) Daniel Ole Njolay (1) Dart (2) David Kafulila (7) Desmond Tutu (2) Diamond Platnumz (18) DJ Fetty (1) Dk. Reginald Mengi (1) Donald Trump (23) Dr Mwaka (1) Dr Mwaka Aacha Vilio Kwa Wagonjwa...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Septemba 30 (1) DR Shein (2) Dr Slaa (4) Dr. Ramadhan Kitwana Dau (1) Edo Kumwembe (1) Edward Lowassa (30) Elimu (75) EPA (1) Escrow (3) Ester Bulaya (9) Faiza Ally (1) Fast Jet (1) Featured (3) Flaviana Matata (1) Freeman Mbowe (31) Fumanizi (1) Gadner (1) George Masaju Masaju (1) Gerald Hando (1) Godbless Lema (31) Godwin Gondwe (1) Halima Mdee (2) Hamad Rashid (1) Harmonize (3) Hillary Clinton (3) Iddi Amini Dadaa (1) Idriss Sultan (2) Iphone (1) Irene Uwoya (1) Ivo Mapunda (1) Jack Wolper (3) Jaji Francis Mutungi (3) Jakaya Kikwete (13) Jambazi (2) James Mbatia (1) January Makamba (1) JB (1) Jecha Salim (1) Jenerali Ulimwengu (1) Jerry Muro (3) Jeshi la Polisi (32) Jobs (1) John Cheyo (1) John Mnyika (3) John Pombe Magufuli (83) Joseph Kabila (2) Josephine Mshumbushi (1) Joshua Nassari (1) Julieth Kairuki (1) Julius Mtatiro (9) Jussa (1) Kamanda Sirro (1) Kenyan News (14) KFC (1) Kicheko (1) Kigwangalla (1) Kilimo (1) Kinana (3) Kitanzi (1) Koffi Olomide (2) Korea (1) Kuliko Jana (1) Leicester City (1) Livingstone Lusinde (1) Lugumi (1) Lulu Michael (1) Maajabu (3) Maalim Seif (14) Madam Rita (1) Madawa ya Kulevya (7) Magazeti (49) Mahakamani (7) Mai Mai (4) Maisha (2) Majambazi (7) Makahaba (1) Makalio Makubwa (1) Makamba (1) Malaika (1) Malezi (1) Mama Salma (1) Man Fongo (2) Man United (1) Mange Kimambi (2) Manji (7) mape (1) Mapenzi (76) Marcus Rashford (1) Mashine ya MRI (1) Matiko (1) Matokeo (3) Mauaji (31) Mauji (2) Mbeya (2) Mbunge Lusinde (1) Mbwana Samatta (8) Mchungaji Anthony Lusekelo (1) Meya wa Kinondoni (1) Michael Shirima (1) Michez (1) Michezo (201) Miss Tanzania (2) Mizengo Pinda (1) Mongela (1) Mr Blue (3) Mrema (7) Mrisho Gambo (3) Mrisho Mpoto (2) Msigwa (2) Mugabe (1) Museven (1) Music (85) Muungano (1) Mwakyembe (2) Mwanafunzi (3) Mwendokasi (1) Mwigulu Nchemba (2) Nape Nnauye (13) Navy Kenzo (1) Nay wa Mitego (2) Ndanda FC (1) Ndugai (1) Necta (3) Nida (1) Nigeria (2) NSSF (1) Nuh Mziwanda (2) Nyerere (1) Obama (9) Ommy Dimpoz (2) Original Comedy (2) Oscar Pistorius (1) Paul Makonda (34) Paul Pogba (2) Pep Guardiola (1) Peter Msigwa (4) Petitman (1) Polisi (4) Pombe (1) Pride (1) Prof Mkumbo (2) Prof. Benno Ndulu (1) Prof. Ibrahim Lipumba (12) Prof. Lipumba (23) Prof. Tibaijuka (3) Profesa Benno Ndulu. (1) Profesa Muhongo (3) Q-Chief (1) Raila Odinga (2) Rais Magufuli (35) Ray C (1) Reginald Mengi (2) Rihanna (1) Robert Mugabe (4) Ruby (5) Rushwa (3) Sadaka (1) Saed Kubenea (3) Saida Karoli (2) Salama Jabir (1) Salum Mwalimu (2) Samia Suluhu (1) Samsung Galaxy (1) Samwel Sitta (5) Sauti Sol (1) SBL (1) Scorpion (3) Serengeti Boys (1) Shamsa Ford (2) Sheikh Abubakar Zubeiry (2) Shibuda (2) Shilole (1) Siasa (1945) Siasa Huru App (3) Siasa za Kenya (1) Simba (1) Slaa (1) Snura (1) South Africa (1) Sudan (1) Sugu (1) Sukari (4) Sumaye (8) Supu ya Pweza (1) Tanesco (9) Tanzia (22) TB Joshua (4) TBS (1) TCRA (5) TCU (4) Technology (3) Tetemeko (13) TFDA (1) Thereza May (1) Thomas Mashali (1) TRA (4) Tundu Lisu (20) Tyrant (1) Ubakaji (4) Uchambuzi (1) Uchawi (1) Uchumi (90) Udaku (46) Udaku Spesho (21) UDSM (1) Ufisadi (2) Ugaidi (6) Uhuru Kenyatta (2) Ujambazi (4) Ujauzito (1) Ukahaba (1) Ukatili (1) Ukawa (11) Ukuta (11) Ummy Mwalimu (1) Urembo (15) Ushirikina (1) Utafiti (2) Utapeli (3) UVCCM (4) Vioja (1) Wastara (1) Watumishi Hewa (1) Waziri Mahiga (2) Waziri Mkuu Majaliwa (18) Wema Sepetu (6) Wiliam Lukuvi (6) Yanga (7) Yaya Toure (1) Zitto Kabwe (33) Zuckerberg Mark (1)

Categories

Advertisement

Main Ad

Facebook

Responsive Ads Here

Featured

Recent

Udaku Special Test

Copyright © Udaku Special Test | Powered by Blogger